Unknown Unknown Author
Title: INASIKITISHA: WATOTO 22 WAFARIKI BAADA YA KULA CHAKULA CHENYE SUMU
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Jumla ya watoto 22 wameripotiwa kufariki na wengineo wengi wakiwa wanaumwa mara baada ya kula chakula cha mchana shuleni kwao kinachosadikiw...

clip_image001Jumla ya watoto 22 wameripotiwa kufariki na wengineo wengi wakiwa wanaumwa mara baada ya kula chakula cha mchana shuleni kwao kinachosadikiwa kuwa kilikuwa na sumu ya kuuliwa wadudu, maafisa wa India wamesema leo.

Haijawekwa wazi ni kwa namna gani madawa hayo ya sumu yaliingia kwenye chakula cha mchana kinachotolewa na shule hiyo iliyopo Mashariki mwa jimbo la Bihar, japo maafisa hao wamesema kwamba kuna uwezekano chakula hicho kilikuwa hakijasafishwa vizuri kabla ya kupikwa.

Watoto kati ya umri wa miaka 8 na 11,  walijisikia wanaumwa mara baada ya kula chakula chao cha mchana ndani ya Masrakh, kijiji kilichopo maili 50 kaskazini mwa jimbo la makao makuu ya Patna.

Inakadiriwa jumla ya watoto wapatao 22 wamefariki na wengineo wengi wakiwa wanaumwa mara baada ya kula chakula cha mchana shuleni kwao kinachosadikiwa kuwa kilikuwa na sumu ya kuulia wadudu., maafisa wa India wamesema leo.

Haijawekwa wazi ni kwa namna gani madawa hayo ya sumu yaliingiaje kwenye chakula cha shule hiyo iliyopo Mashariki mwa jimbo la Bihar, japo maafisa hao wamesema kwamba kuna uwezekano chakula hicho kilikuwa hakijasafishwa vizuri kabla ya kupikwa.

Watotot kati ya umri wa miaka 8 na 11,  walijisikia wanaumwa mara baada ya kula chakula chao cha mchana ndani ya Masrakh, kijiji kilichopo maili 50 kaskazini mwa jimbo la makao makuu ya Patna.

SOURCE: EDDYMOBLAZE

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top