CHEKI KITAA HIKI, KIMESAHAULIKA KWA KUWA MGENI WA LEO HAPITI AU?

clip_image001Wakati mitaa mingine ya katikati ya Jiji la Dar es salaam, ikiendelea kuwekwa safi ikiwa ni maandalizi ya mapokezi ya Rais wa Marekani, Barack Obama, Soko la Kariakoo limesahaulika na kukithiri kwa Taka.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post