ANGALIA PICHA ZA MAPOKEZI YA WANAJESHI WA TANZANIA WALIOUWAWA MJINI DARFUR WALIVYOPOKELEWA

clip_image001MAJENEZA YALIYOBEBA MIILI YA WAPIGANAJI HAO IKITOLEWA KUTOKA KWENYE NDEGENDEGE ILIYOBEBA MIILI YA WANAJESHI SABA WALIOUWAWA HUKO DAFUR NCHINI SUDAN IKIPAKI VIZURI ILI KUSHUSHA MIILI YA WATANZANIA HAO.WANAJESHI MAALUMU WAKIWA WAMEBEBA MAJENEZA YALIYOBEBA MIILI YA WANAJESHI SABA WA JWTZ WALIOUWAWA DAFUR NCHINI SUDAN.

PICHA NA COMREDY GODFREY MONYO.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post