Kijana anayetuhumiwa kukwapua simu(aliyeshikwa) ndani ya maonesho ya 37 ya Biashara jijini Dar es Salaam akipelekwa kwenye vyombo vya usalama.
Kijana huyo akisindikizwa kwenda kwenye kituo cha polisi, ndani ya maonesho ya 37 ya Biashara jijini Dar es Salaam akipelekwa kwenye vyombo vya usalama.
ANASWA AKIKWAPUA SIMU KWENYE MAONYESHO YA SABA SABA JIJINI DAR.
byUnknown
-
0