Huyu ni mmoja Kati ya niliyoshuhudia wameanguka hapa uwanjani Jamuhuri Morogoro, amechukuliwa na huduma ya kwanza.Uwanja wa Jamuhuri Morogoro watu waliokusanyika kumuaga Marehemu Ngwea.Uwanja wa Jamuhuri Morogoro Ulivyo kuwa wakati wa kumuaga Marehemu Albert Mangwea, kuna dada alizimia akachukuliwa na watu wa huduma ya kwanza.Hii ni kwenye mlango wa kuingia uwanja wa Jamuhuri kuuaga mwili wa Marehemu Ngwea Morogoro.Hii ilikuwa foleni ya kwenda kumuaga marehemu Albert Mangwea kwenye uwanja wa Jamuhuri Morogoro.Wananchi ni wengi waliojitokeza kwenda kumuhifadhi msanii albert mangwea kwenye nyumba yake ya milele kama ionekanavyo pichani hapo ni makaburini.Hii ndio nyumba ya Milele ya Msanii Albert mangwea aliye fariki huko nchini South African na kuzikwa leo Nyumbani kwao Morogoro. Daima tutakukumbuka kwa Ucheshi wako na Kwa kujituma kwako katika Tasnia nzima ya Muziki nchini.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.