Hii ndio nyumba ya Milele ya Msanii Albert mangwea aliye fariki huko nchini South African na kuzikwa leo Nyumbani kwao Morogoro. Daima tutakukumbuka kwa Ucheshi wako na Kwa kujituma kwako katika Tasnia nzima ya Muziki nchini.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.