WASANII WAPANGA MKAKATI WA KUPUNGUZA ZERO MASHULENI, HEBU SOMA WALICHO KISEMA

clip_image001Wasanii wa kizazi kipya hapa nchini Tanzania wameamua kupanga katika kuhakikisha wanawasaidia wanafunzi kuto pata alama ya zero katika mtihani wao wa mwisho wa Taifa.

Accoding to artist Mwasiti as a coordinator wa huo mpango amesema “kwa kushirikiana na wasanii wenzake kama Diamond,Kala Jeremiah,Maunda Zohro, Keisha,Linah,Peter Msechu,Roma, Stamina na wasanii wengine watahakikisha ujumbe wao unafanikiwa ili wanafunzi waondokane na matokeo mabaya katika masomo yao”.

Pamoja na hayo Julai mwaka huu wanategemea kutoa wimbo wa Tokomeza zero ili kuhamasisha wanafunzi kutambua kile wanachofundishwa na walimu wao darasani”

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post