VIDEO: CHADEMA YAJIBU MAPIGO

clip_image002

Mkurugenzi wa Oganaizesheni na Mafunzo wa CHADEMA, Benson Kigaila amesema Serikali ya CCM inapanga na kutekeleza mauaji ili kutengeneza propaganda dhidi ya CHADEMA. Hii ni video ya kumjibu Mwigulu Nchemba

Nchi hii inatupeleka wapi?!

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post