Gari iliyobeba mwili wa Albert Mangwea ikisukumwa na washabiki,wapenzi ndugu jamaa na marafiki mara baada kuanza kuondoka eneo la uwanja wa ndege wa Mwalimu JK Nyerere hivi punde wakielekea Muhimbili kwa taratibu nyingine,
Haikuwa kazi ndogo Mbio njia nzima
VURUGU ZIMERIPOTIWA KUTOKEA ENEO LA TAZARA POLISI NA WANANCHI. POLISI WANATAKA KUKIMBIZA MSAFARA.. WANANCHI HAWAPO TAYARI...WANANCHI NI WENGI SANAAAAAAAA....POLISI WANAZIDIWA NGUVU...NIMESHUUDUIA MTU MMOJA KAGONGWA NA GALI HAPA..LAKINI HAJADHURIKA.NI WAKATI POLISI WANATAKA KUKIMBIZA GARI LILILOBEBA MWILI WA MAREHEMU MANGWEA.Picha zote kwa hisani ya Jiachie Blog