SWALI LA WIKI: JE KWANINI KILA INAPOTOKEA MACHAFUKO JWTZ NDIO LINALOCHUKUA JUKUMU?

996840_10200941742402278_73844593_nKama kila inapotokea Machafuko/Mauaji JWTZ ndilo linalochukua majukumu yote ya eneo na hata uchunguzi wa matukio je kwa maana hiyo kazi ya Jeshi la Polisi ni ipi haswa, au ndio tuseme Jeshi la Polisi haliaminiki tena na Wananchi au halitambui na kutenda wajibu wake inavyotakikana??!!

Kama kila jambo lina mipaka yake basi sio bure kuna tatizo katika pande hizo kushindwa kutambua mipaka yao katika utendaji wao na kupima tangu awali kwamba kwa tatizo hili ni level ya Polisi au la ni level ya Jeshi!

Hebu tuzungumze nduu msomaji…….

Original Story by  Salvatory Mkami

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post