Unknown Unknown Author
Title: RIO AWAPA VIDONGE VYAO LEWANDOWSKI NA FABREGAS...AWAAMBIA MAN U SI YA KUIDENGULIA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Ferdinand amewahakikishia wachezaji wapya watashinda mataji Old Trafford BEKI Rio Ferdinand amewaambia wachezaji wanaotakiwa na klabu yake,...

clip_image001Ferdinand amewahakikishia wachezaji wapya watashinda mataji Old Trafford

BEKI Rio Ferdinand amewaambia wachezaji wanaotakiwa na klabu yake, Manchester United Cesc Fabregas na Robert Lewandowski watakuwa wachezaji bora wakisasini kwa Mashetani hao Wekundu.

Beki huyo wa zamani wa England amesema hakuna sehemu nzuri kwa wachezaji wenye malengo kama Man United akimtolea mfano Cristiano Ronaldo, ambaye alipitia katika klabu hiyo na sasa ni mchezaji mkubwa duniani.

Fabregas, mwenye umri wa miaka 26, na Lewandowski, mwenye miaka 24, wote wanatakiwa na United majira haya ya joto, katika jitihada za kocha mpya, David Moyes kuboresha kikosi chake.clip_image001[6]Hivi karibuni atakuwa mwekundu? Lewandowski na Fabregas wanaweza kuwa wachezaji maarufu kusajiliwa United majira haya ya jotoSoon to be red? Lewandowski and Fabregas could be Ununited's big signings this summer"Ikiwa United inakufuata, ikubali,"alisema Ferdinand, mwenye umri wa miaka 34.

"Hata ukiwa mchezaji mkubwa, utakuwa bora katika klabu hii. Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji bora duniani  aliposajiliwa kutoka Sporting Lisbon.

"Watu kama Ryan Giggs, Roy Keane, David Beckham, Andy Cole wote wamekuwa wachezaji wakubwa United. Kwa hali hii huwezi kuamini yeyote anaweza kukataa kuja hapa.

"Ikiwa una malengo ya dhamira yako unatengeneza jina katika klabu kubwa. Kwa mchezaji mwenye umri wa miaka 23 na 27 hicho ndicho kitu ambacho unapaswa kutazama. Inaonyesha unakwenda sehemu na unataka kushinda mataji,".The place to be: Unsettled Madrid striker Ronaldo has been linked with a return to Old TraffordSehemu ya kuwa: Nyota wa Madrid, Ronaldo amekuwa akihusishwa na kurejea Old Trafford

Mshambuliaji wa Poland, Lewandowski alitaka kuhamia klabu aliyokuwa akiiota Bayern Munich, lakini akazuiwa wiki iliyopita na Dortmund inaweza kuwa tayari kumuuza kwa klabu za nje ya Ujerumani mchezaji huyo ambaye anamaliza Mkataba wake  mwakani, wakati Nahodha wa zamani wa Arsenal, Fabregas amekuwa akihusishwa na kurejea England kutoka Barcelona.

Moyes anaweza akawa anawataka wote wawili kuziba pengo la mshambuliaji Rooney na kiungo anayestaafu, Paul Scholes.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top