PHOTO; BUS LA KILIMANJARO AWARDS LAPATA MATATIZO KUELEKEA TANGA …

clip_image001Wasanii walioshinda tuzo za KTMA2013 na washiriki walioshiriki kinyang’anyiro hicho wako njiani kwenda TANGA kukinukisha huko … Wakiwa njiani, bus hilo limepasuka tairi na kukwamisha kidogo safari kwa ajili ya matengenezo …clip_image001[6]

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post