OMMYDIMPOZZ AWAPIGIA MAGOTI WATANZANIA AKIOMBA ASEMEHEWE KWA TUSI LAKE

clip_image001Baada   ya  watanzania  kumwandama  Ommy  Dimpoz  kutokana  na  tusi  alomtukana  marehemu  Ngwea,  msanii  huyo  ameamua  kuwapigia  magoti  watanzania  na  kuwasihi  wamsamehe…..

Hali  hiyo  imekuuja  baada  ya  watu  mbalimbali  kutangaza  kumsaka  Ommy  kwa  lengo  la  kumwadabisha  kwa  kumpa  kichapo kikali…

Miongoni  mwa watu  hao  ni  TID ambaye  leo  kupitia  ukurasa  wake  wa  facebook  ametangaza  vita  dhiti  ya  Ommy  Dimpoz….

Hii  ni  post  ya Ommy  ambayo  ameitoa  akiomba  asamehewe  kwa  kauli  zake  na  matusi  aliyoyatoa  kwa  marehemu  Ngwea….

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post