“NAPIGA NAO PICHA ILI NIWA PROMOTE” ASEMA ASHLEY TOTO

clip_image002BOB JUNIOR NA ASHLEY TOTOclip_image002[6]JAGUAR NA ASHLEY TOTOclip_image002[8]RED SON NA ASHLEY TOTOclip_image002[10]JUA KALI NA ASHLEY TOTO

Msanii Ashley Toto ambae ni Msanii Anayechipukia kwenye tasnia ya filamu ziku za karibuni ameonekana akiweka picha alizopiga na wasanii wa kubwa East africa , Kama Bob junior ,Jaquar ,nameless n.k , picha hizo zimezua maswali kwa wengi na kuuliza ana uhusiano gani nao....Tumemtafuta na kumuuliza haya ndio majibu yake...."Mimi naishi huku ujerumani na kwa kipindi kirefu sana mimi na wenzangu huwa tuna wapromote wasanii kuja kuperform huku so msishangae nikipiga picha nao , Hakuna kinachoendelea hapo zaidi ya Kazi " Says Ashley

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post