MWANAFUNZI WA UDSM ALIYEPIGWA RISASI YA TUMBO AFARIKI DUNIA

clip_image001HABARI zilizotufikia hivi Punde zinasema kwamba mwanafunzi ALEX ROBERT wa chuo kikuu DAR ES SALAAM (UDSM) amefariki dunia mchana huu katika HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI ambapo alikuwa amelazwa kutokanana kujeruhiwa na risasi ambyo alipigwa na majambazi waliomvamia akiwemo yeye pamoja na wenzake watatu.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post