MMOJA KATI YA WASHINDI 5 WA PROMOSHENI YA CHEKA NAO AKABIDHIWA KITITA CHAKE

clip_image001Meneja wa Vodacom kanda ya Nyanda za juu kusini Bw. Elisha Tengeni (kulia) akimkabidhi Tsh milioni 2 Mshindi wa droo kubwa ya Promosheni ya Cheka Nao Bw. Isaya Sengo-mkazi wa makunguru Mbeya, ambae ni mshindi, kati ya washindi 5 waliojishindia shilingi Milioni 2 kila mmoja, baada ya kuzitoa kwenye M PESA alizotumiwa toka makao makuu ya Vodacom kwa ushindi wake kwenye Promosheni hiyo inayowawezesha wateja kuongea na mitandao yote bila mipaka kwa bei nafuu. Ili wateja kujiunga na promosheni hiyo wanatakiwa kupiga *149*01#.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post