LIVERPOOL WAMSAJILI MSHAMBULIAJI LUIS ALBERTO - ANGALIA VIDEO INAYOONYESHA UJUZI WAKE WA SOKA

clip_image001Liverpool wametangaza usajili wa mshambuliaji wa Sevilla Luis Alberto kwa ada ya uhamisho wa £6.8million.
Mshambuliaji huyo mwenye miaka 20 amesaini mkataba wa minne wa kuichezea Liverpool.
Alberto alitumia msimu uliopita kucheza kwa mkopo kwenye timu ya Barcelona B, Alberto alifunga mabao 11 na kutengeneza mabao 17 katika mechi zote 38 alizoichezea Barca B.

Cheki hii Video ili ujue maujuzi yake katika soka…..

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post