Regidald Mengi, Mkurugenzi wa IPP MEDIA
TOPIC
Miaka 50 baada ya Uhuru, waTanzania wengi bado wapo kwenye hali mbaya ya umasikini na wengi hawawezi kumudu milo miwili kwa siku.
Je, wewe unaamini una pendekezo zuri la suluhu ya tatizo hili? Tembelea LINK HII http://j.mp/12qZ50h ili uwe FOLLOWER wa Dr. Reginald Mengi na kisha umweleze jibu lako kwa kumtaja (mention) @regmengi.
Jibu zuri la mwezi litajishindia TZS 1,000,000/= (kila mwezi) na mshindi atatangazwa! Usiwe mchoyo; washirikishe na wenzako kwa kubonyeza SHARE button
Tags
HABARI ZA KITAIFA