JE WEWE UTAWEZA KUMRUHUSU MPENZI WAKO KUWA MWIGIZAJI BAADA YA KUANGALIA “SCENE” HII?

clip_image002Nimegundua ndio maana Mahusiano mengi ya waigizaji hufa mara baada ya kuwa maarufu na kuachana na wapenzi wao wa zamani hii inaweza kuwa sababu moja wapo kwani kuna scene zingine hazivumiliki hasa pale unapomwona mpenzi wako akipigwa mabusu moto moto hasa yakipita yale yako unayokuwa ukimpiga wewe pindi mnapokuwa faragha na huyo mwandani wako huku akipapaswa kwa ustadi maridadi na huyo actor/actress mwenzake, mambo hayo huleta wivu wakupindukia na kufikia kuvuruga uhusiano sasa je nini suluhusho ndugu msomaji hebu funguka hapo chini kwenye sehemu ya maoni Mara baada ya kuangalia Kipande kifupi hiki cha moja ya scene ya mapenzi.

BOFYA HAPA CHINI

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post