HII NDIO KAULI YA WAZIRI MKUU PINDA YA KUWARUHUSU ASKARI POLISI KUWAPIGA WAFANYA VURUGU NCHINI BUNGENI.

clip_image001WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema jeshi la polisi litaendelea kuwakabili na kuwadhibiti ikiwa ni pamoja na kupiga wale wote wanaokiuka amri halali inayotolewa katika kulinda amani ya nchi iliyopo.
Mhe Pinda amesema hayo bungeni mjini Dodoma wak
ati ya kipindi cha maswali kwa waziri mkuu akijibu swali aliloulizwa juu ya matukio ya polisi kudaiwa kupiga wananchi katika matukio ya hivi karibuni.
KUPATA HII VIDEO BOFYA KATIKATI YA PICHA HAPO JUU ILI KUWEZA KUONA.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post