FALCAO RASMI ATUA MONACO

clip_image002KLABU ya Monaco usiku wa jana imethibitisha kumnasa mshambuliaji wa kimataifa wa Colombia, Radamel Falcao kutoka klabu ya Atletico Madrid.

Mabingwa hao wa Ligi Daraja la Kwanza Ufaransa, wamepania kuipindua Paris St Germain katika matawi ya juu ya Ligi Kuu Ufaransa.

Monaco imesema katika tuvuti yake kwamba: "Monaco imefikia makubaiano na  Atletico Madrid na mchezani mwenyewe (Radamel Falcao) kwa uhamisho wa msimu  wa 2013-14.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post