Langa (msanii wa Hip Hop Tanzania) amefariki dunia leo hii.Katika hospitali ya Mhimbili kwa kile kina chosadikika ni malaria.
Langa alipelekwa hospitali akiwa hajitambui.
Uchunguzi wa chanzo cha kifo chake bado unaendelea.
Langa aliwahi kutamba na kikundi cha Wakilisha pamoja na witness na sara ni miongoni mwa wasanii wakongwe wa bongo flava nchini Tanzania.
Mungu amrehemu.
SIKILIZA MAHOJIANO KATI YA DJ CHOKA NA KAKA WA MAREHEMU LANGA KILEO
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.