ANGALIA PICHA YA MWILI WA MUME WA MALKIA WA MIPASHO YA TAARAB, KHADIJA KOPA ULIPOKUA UKIPELEKWA KUZIKWA

clip_image003Wakazi wa mtaa wa Magomeni wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa mume wa Khadija Kopa, Jafary Ally ambaye ni Diwani wa CCM kata ya Magomeni wakati wakielekea makaburi kwa ajili ya shughuli za mazishi.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post