VUGU VUGU ZA MECHI YA LEO: SHABIKI WA YANGA AKATWA KIDOLE NA SHABAKI WA SIMBA MWEMBEYANGA

clip_image003Mashabiki wa Yanga na Simba leo asubuhi walizidisha utani kiasi cha kuanza kuchapana makonde eneo la Mwebeyanga, kiasi cha shabiki wa Yanga kukatwa kidole.

Habari zingine tulizozipata kutoka kwa wadau wa soka wamesema katika tawi kongwe la Mwembe Yanga, wanachama wa Yanga wa tawi hilo, wamekesha wakinuwiza ubani kwa lengo la kuitakia mema hasa ushindi dhidi ya watani wao wa jadi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post