Video hii ilikua ikirekodi laivu shambulio la bomu kanisa Katoliki la Olasiti lilipotokea. Watu watatu wamefariki, na wengine takriban 70 wamejeruhiwa kufuatia shambulio hilo. Watu sita, ikiwemo raia wanne wa Saudi Arabia wamekamatwa kuhusiana na uhalifu huo. Wengine waliokamatwa ni Watanzania wawili ambao ni Wakristo. Habari hizo ni kutoka kwa mkuu wa mkoa wa Arusha, via VOA SWAHILI.
Tags
VIDEOS