UJUMBE MTAMU KUTOKA KWA DIVA KWENDA KWA PREZOO, KUMPA SUPPORT PREZOO MAHAKAMANI

clip_image001[9]Licha ya kutoweka nini kilichompeleka mahakamani, leo Prezzo alitweet kueleza kuwa ana imani na mfumo wa mahakama ya Kenya na kwamba ukweli utabainika. “Thanks to everyone who wished me well. I have faith with the Kenyan judicial system. The tuth shall prevail.”

Kutokana na hatua hiyo, mtangazaji wa Clouds FM, Diva ambaye kwa mujibu wake mwenyewe ni mpenzi wa Prezzo amemtumia ujumbe huu Prezzo:clip_image001

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post