Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya maarufu kama Bongo Fleva, Joseph Haule (Prof. Jay) amejiunga rasmi leo na chama cha CHADEMA. Hili litakuwa ni jibu tosha kwa washabiki wake ambao walikuwa wakiuliza maswali mengi kupitia account yake ya twitter kuhusu yeye ni mfuasi wa chama gani hapa nchini. naye alitweet kuwa

Tags
HABARI ZA WASANII