MTU MMOJA AFARIKI PAPOHAPO BAADA YA KUJARIBU KUDANDIA DALADALA LEO MAENEO YA ILALA BOMA

clip_image001Asubuhi hii ajali mbaya imetokea maeneo ya Ilala Boma na  kusababisha kifo cha abiria huyu ambaye hajatambulika kwa jina mpaka sasa baada ya abiria kutaka kudandia bahati mbaya akadondoka na kupasuka kichwa na kusababisha umauti wakeWasamaria wema wakisaidia kumpakia kwenye gari kwa kumpeleka hospitaliniDamu ya marehemu ambayo kwa kiasi kikubwa imetoka kichwani baada  ya kupasuka vibayaMwili wa marehemu ukiwa tayari kuondolewa kwenda hospitaliHii ndio daladala ambayo marehemu alikuwa akitaka kudandia na kudondoka kwa bahati mbayaUmati wa watu ukishuhudia ajali maeneo ya Ilala Boma asubuhi hiiAskari wa usalama barabarani akichukua maelezo kwa dereva aliyesababisha ajali.
From KRANTZ MWANTEPELE

CHANZO : FOL CLASSIC

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post