MAN CITY YAPATA MKATABA MPYA MNONO WA JEZI KUTOKA NIKE NA KUIPIGA CHINI UMBRO

KLABU ya Manchester City imezindua rasmi udhamini wake mpya wa jezi wa Pauni Milioni 72 na kampuni ya vifaa vya michezo Marekani, Nike sambamba na kuzindua jezi zake za msimu ujao nyumbani mjini New York.
City ilitangaza mwaka uliopita wataachana na Umbro, ambayo awali ilikuwa inamilikiwa na Nike, baada ya kukubali mkataba wa Pauni Milioni 12 kwa mwaka kwa miaka zaidi yasita.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post