Unknown Unknown Author
Title: Kocha wa Manchester United, Sir Alex Ferguson atangaza kujiuzulu kufundisha timu hiyo
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
KOCHA wa Manchester United, Sir Alex Ferguson ametangaza kustaafu kufundisha soka ikiwa ni miaka 27 tangu aanze kuifundisha timu hiyo mwaka ...

KOCHA wa Manchester United, Sir Alex Ferguson ametangaza kustaafu kufundisha soka ikiwa ni miaka 27 tangu aanze kuifundisha timu hiyo mwaka 1986.

Ferguson anaondoka United akiwa amebeba mataji 30 huku pambano la mwisho la msimu huu dhidi ya West Brom likiwa la 1,500 tangu aanze kuifundisha Manchester United.

Bado haijajulikana ni kocha gani atarithi mikoba ya Ferguson ingawa inatajwa kuwa kocha David Moyes wa Everton anapigiwa chapuo la kuwa kocha mpya wa timu hiyo.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top