JOKATE MWEGELO AIPELEKA KIDOTI TIME MKOANI KWAKE

clip_image002Mrembo na mjasirimali hapa nchini Jokate Mwengelo weekend hii amekuwa mgeni rasmi kwenye mashindano ya UMISSETA 2013 ngazi ya wilaya katika halmashauri ya Songea mkoani Ruvuma.
Jokate alikuwa kama mgeni rasmi kupitia kampeni yake Kidoti Time yenye lengo kusaidia na kuibua vipaji mbalimbali vya wanafunzi mkoani, akizungumza na mtandano alisema"
clip_image002[6]Kidoti Time ni program ambayo itakuwa ikifanyika mashuleni kuanzia term(muhula) ujao katika masomo lengo ni kuvumbua vipaji mbalimbali vya wanafunzi kama Uchoraji,uimbaji,ubunifu,kuingiza na vipaji vingine...!!!!!clip_image002[8]

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post