Siku ya tarehe 31 ndani ya Mbeya City alikotoka Rapper Izzo B patawaka moto, moto utawaka ndani ya Club Vibe, ikiwa ni mara yake ya kwanza kufanya show yake yeye kama yeye, kwa kiingilio cha buku 7 tu huku akisindikizwa na wasanii wa pale pale Mbeya na Rapper kutoka Morogoro Stamina. Watu wa Mbeya hii ni time yenu kumpa sapoti mtu wenu anaeikubaili Mbeya.
Tags
HABARI ZA WASANII