DUH! LULU AZIDI KUPENDEZA KILA SIKU, HEBU CHEKI PICHA HIZI HAPA UJIONEE MWENYEWE

clip_image001Muigizaji wa kike aliyekulia kwenye tasnia ya bongo movie, kwa kuwa alianza tangu akiwa mdogo na hadi sasa kipaji chake kinazidi kung’aa. Haishii kung’arisha kipaji chake tu bali anazidi kuwa na muonekano wenye mvuto pia.

Lulu anaonekana hana stress tena kama ilivyokuwa siku kadhaa zilizopita alipokuwa chini ya ulinzi mkali akituhumiwa kusababisha kifo cha muigizaji mwenzake Steven Kanumba.

Huu ndio muonekano wa Lulu sasa hivi:clip_image001[6]clip_image001[8]

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post