BADO KUNA UTATA WA TOUR YA JAY Z KUJA BONGO, KUNA UWEZEKANO ASIJE. SOMA HAPA

clip_image001Bado wataalam wa mambo wanaendelea kutofautiana kuhusu ratiba ya Tour ya Jay – z iliyotolewa na Billboard hivi karibuni katika ratiba hiyo imeandikwa Jay z atatua katika miji 7 ya Africa ikiwemo jiji la Dar es salaam Oktoba 4 mwaka huu pale Diamond Jubilee. Ratiba hiyo inatia shaka kwa sababu Jay z aliperform tarehe na mwezi kama huo Dar es salaam mwaka 2006 na katika website ya Jay za ametoa ratiba ya Tour zake lakini ameishia kuandika mwezi Septemba hajaandika mpaka Oktoba kama walivyoandika Billboard.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post