ABIRIA WA BASI LA TAYASSAR WANUSURIKA KIFU KUFUATIA BASI HILO KUPATA AJALI LEO

clip_image001Basi la Tayassar likiwa limeacha njia jioni ya leo,lakini hakuna aliyepoteza maisha.Pichani kama uonavyo ni basi la Tayassar ambalo abiria wake walinusurika kifo baada ya gari hilo kuacha njia kilometa chache kabla ya kufika njia panda Segera,kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo walieleza kuwa basi hilo lilipata pancha ghafla likiwa kwenye mteremko mkali,"lakini kudra za Mwenye Mungu dereva alijitahidi kwa uwezo wake na matokea yake basi hilo likaacha njia na kwenye kuvamia mtaro kama lionekavyo pichani,aidha katika mtafaruku huo hakuna aliyepoteza maisha zaidi ya watu wachache kupata mshtuko tu",alibainisha mmoja wa mashuhuda wa ajali hiyo.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post