TIMBWILI TIMBWILI: ADAI PESA BAADA YA KUFANYA MAJAMBOZ NA JAMAA USIKU KUCHA

Mambo yanayotokea siku hizi yanashangaza xana, Huyu dada amefanya majamboz na mavituz na mshkaji usiku kucha bila makubaliano. Asubuhi akataka alipwe pesa jamaa alikataa kwasababu hawakukubaliana hivyo.  Dada huyo alisema "Mimi siyo mpenzi wako kwanini usinilipe" Jirani yao alirekodi yote yaliyotendeka.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post