Mwanamuziki mkongwe, Bi Kidude binti Baraka aliyefariki dunia jana amezikwa leo mchana huko Zanzibar na katika mazishi hayo alihudhuria Mhe. Rais Dr. Ali Mohamed Shein. Pichani ni jeneza la marehemu Kidude likielekea makaburini.
Mhe. Rais na viongozi wengine wakitoa heshima zao za mwisho mbele ya marehemu Bi Kidue kabla ya kuhifadhiwa kwenye jeneza.
HAPA NDIPO ALIPOZIKWA MAREHEMU BI KIDUDE
PICHA: IMELDA MTEMA-GPL-ZANZIBAR
Tags
HABARI ZA WASANII