Mvulana wa miaka 20 afariki baada ya kucheza Gangnam Style

Lee
Mvulana mmoja aitwae Lee Whitehead amepata na mshituko wa moyo na kufariki baada ya kucheza Stairi ya Gangnam kwenye party moja.
Lee, 20, alianguka sakafuni kwenye pub moja ila rafiki zake wakadhani alikuwa anafanya stairi nyingine ya uchezaji.
Lee, toka Hull nchini Uingereza , Mashariki ya Yorkshire, alipata mshituko huo na kukimbizwa hospitalini na kufariki nusu saa mara baada ya tukio. Madaktari waliuita mshituko huo 'ticking time bomb'.
Je unaifahamu Gangnam Style...? Vyema ukawa makini unapojaribu kuicheza.

Previous Post Next Post