ULIMISS SIRI YA MTUNGI SEHEMU YA 8? HII HAPA

Mke wa kwanza wa Mzee Kizito, Farida, hafurahishwi hata kidogo na ujio wa bi harusi, Nusura, na anafanya juhudi zote kutoonyesha hali hiyo.
Cheche anafanya kosa jingine kubwa pale anapoamua, binafsi, kumpelekea Lulu, picha zake kwenye nyumba yake ya ufukweni. Pamoja na dhamira yake safi, jambo moja linazua jingine na mwisho wa yote pikipiki yake inamgomea kuwaka na kujikuta kachelewa kuwahi kwenye uzao wa mtoto wake!

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post