Naibu Spika Mhe Job Ndugai ( wa nne toka kulia, mbele) akiwa na Watanzania waishio Uingereza alipokutana nao jijini London
Naibu Spika akiongea na Watanzania waishio Uingereza
Ujumbe huo ukiwa ni toka shoto Saidi Yakubu, Mhe. Godfrey Zambi, Naibu Spika Job Ndugai Mhe. Salehe Pamba na Mhe. Beatrice M. Shellukindo
Picha kwa msaada wa MICHUZI BLOG
Tags
HABARI ZA KITAIFA