Mrembo anaye shikilia taji la Redds Miss Tanzania Brigit Afred leo amekabidhi zawadi ya Valentine kwa watu mbalimbali jijini Dar es Salaam kwenye msimu huu wa sikukuu ya wapendanao, ambapo kinywaji hicho kinaendelea kutoa zawadi pichani akimkabidhi zawadi mwanamitindo Hadija Mwanamboka.
Mdau mwingine akikabidhiwa zawadi mchana wa leo.
Mtangazaji wa Clouds FM Ephraim Kibonde naye alikuwa miongoni mwa watu waliobahatika kupata zawadi hizo.