"Maisha ya kimapenzi yako private sana kwangu mimi, lakini itakapofikia time watu wataweza kuelewa, ninachoogopa saa hizi ni kwamba ninaweza nikawatambulisha huyu, kumbe ninayemtambulisha ye hayuko tayari kwa kipindi hicho...kwa hiyo naangalia kama kweli yuko na mimi kwa shida na raha au ananipenda kama Omary sio Ommydimpoz, hapo ndio naweza kuonyesha na watu wajue kuwa nipo kwenye mahusiano au vipi, kwahiyo sasa hivi hivyo vitu naogopa kidogo, kutokana na leo naweza kutambulisha huyo kesho haupo nae mwisho wa siku nakujakuonekana ni msanii kama kioo cha jamii kumbe ni mchafuzi" amesema Dimpoz
About Author
JE, UNA HABARI, PICHA, TANGAZO, MAKALA NA USHAURI? USISITE KUWASILIANA NASI SIMU / WHATSAPP NAMBA 0625535420.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.