SAM WA UKWELI AKAMILISHA SAMAKI

Video ya kibao kipya cha msanii Sam wa Ukweli iitwayo 'Samaki' imekamilika na itaanza kuonekana kwenye televisheni hivi karibuni

Akizungumza jijini msanii huyo alisema video hiyo imechukuliwa picha zake sehemu mbalimbali nchini  na ni video ambayo mashabiki wengi wataipenda kuiona

Alisema pia video hiyo imetengenezwa kwa kiwango chenye ubora wa hali ya juu na pia wataalamu wa kuchanganya rangi wamefanya kazi nzuri ambayo mashabiki wataikubali pale watakapoiona ikichezwa kwenye televisheni

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post