PHD HEMEDY ATEKWA NA TOTO LA KI NIGERIA.....

Msanii wa ‘Going Crazy’ Hemedy Suleiman aka PHD amekiri kupitia mtandao wa Twitter kuwa anamzimia mwanamuziki wa Nigeria, Tiwa Savage.Kupitia Twitter Hemedy ameandika, “IN LOVE WITH TIWA SAVAGE……Daaaah.”Hata hivyo Hemedy inabidi aendelee tu kuumia sababu Tiwa Savage anafly kwenye matawi mengine kabisa.
Previous Post Next Post