Dhahama hiyo ilimkuta Ray wakati akiwa Malaysia kufanya mazoezi. Madaktari wamesema wanatarajia atapona kabisa. Alilazwa hospitali kwa muda wa siku tatu na kuruhusiwa kwenda nyumbani , huku akipewa dawa za kuzuia kudinda kwa muda wa wiki mbili ili asijitoneshe.
Tags
HABARI KIMATAIFA