Unknown Unknown Author
Title: Jiwe la Msingi ujenzi wa barabara ya Mabasi yaendayo kasi kuwekwa Dar kesho na MH. JK
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Rais Jakaya Kikwete na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania, Philippe Dongier, wanatarajia kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa...

jk ufunguz Rais Jakaya Kikwete na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania, Philippe Dongier, wanatarajia kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya Mradi wa mabasi yaendayo kasi jijini Dar es Salaam.

Kwamujibu wa Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari nchini, inasema uwekaji wa jiwe hilo la Msingi utafanyika eneo la Jangwani jijini Dar es Salaam kuanzia majira ya saa mbili asubuhi.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top