Unknown Unknown Author
Title: MISS WORLD 2012 NI YU WENXIA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mshindi wa shindano la urembo la Miss World ni Yu Wenxia kutoka nchini China. Ushindi huo umetangazwa muda sio mrefu jijini Ordos nchini Mon...

missworld1eMshindi wa shindano la urembo la Miss World ni Yu Wenxia kutoka nchini China. Ushindi huo umetangazwa muda sio mrefu jijini Ordos nchini Mongolia ambapo mshindi wa pili ametokea Sophie Elizabeth Moulds wa kutokea Wales na mshindi wa tatu akiwa Jessica Michelle Kahawaty wa Australia.
Yu Wenxia mwenye miaka 23,ni mwanafunzi wa muziki ambaye anadhamiria kufundisha muziki pia.
Washindi kutoka Africa waliopeta katika mashindao hayo ni warembo kutoka Kenya na South Sudan, ambapo Kenya alifanikiwa kutinga mpaka Nusu fainali za shindano huko mrembo kutoka South Sudan akifanikiwa kufikia hatua ya finali.
Tangu hatua za awali, mrembo wa South Sudan alionekana kushiriki na kufanikiwa katika michuano ya Beach Beauty, pamoja na shindano la Top Model.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top