
Waziri wa Nchi TAMISEMI ,Hawa Ghasiaakiwa pamoja na Mkuu wa Wilya ya Nachingwea alipokuwa akikagua mabanda ya maonesho ya 3 ya Nane nane kanda ya Kusini katika viwanja vya Ngongo Manispaa ya Lindi

Waziri wa Nchi Tamisemi akipata maelezo ya Matumizi ya Madawa ya Mazao mbalimbali katika Banda La Wilaya Ya Tandahimba

MKUU WA MKOA WA LINDI,LUDOVICK MWANANZIRA AKIWA NA MKUU WA WILAYA YA KILWA WAKIKAGUA MAMBANDA YA MAONESHO WAKIWA NA MGENI RASMI WAZIRI WA TAMISEMI

WAKUU WA WILAYA WAKISIKILIZA HOTUBA YA MGENI RASMI