Mwenyekiti wa Halmashauri ya Lindi Mhe Makwinya akiongoza kundi la madiwani walipokuwa safarini jana kuelekea Dodoma...Leo jumatatu watahudhuria bunge kumuunga mkono Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano kimataifa,Bernad Membe ambae pia ni Diwani mwenzao na Mbunge wa jimbo la Mtama atakapowasilisha Bajeti ya Wizara hiyo

Mdau Abdulaziz nae akiwa katika msafara huo wa Madiwani hapa wakiwa katika Mapumziko katika Hotel ya Gairo
