YANGA AFRIKA BINGWA KAGAME CUP KWA MARA YA PILI MFULULIZO

Wachezaji wa Yanga wakishangilia huku wakiwa na Kombe la Kagame, baada ya kutawazwa tena kuwa wafalme wa michuano ya soka ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki leo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, kwa kuibwaga Azam FC mabaoKocha Mkuu wa Yanga, Tom akiungana na wachezaji kushangilia ubingwa huo
Mashabiki wakiungana na wachezaji wa Yanga kushangilia ubingwa huo
Previous Post Next Post